Language.Exchange

Debysyll님의 프로필

 

 

설명

Habari mimi naitwa Debora natokea Tanzania naongea lugha ya Kiswahili napenda pia kujifunza lugha na tamaduni mbalimbali duniani nitafurahi kama nitapata marafiki wa kujifunza nao lugha mbalimbali na pia na mimi nitawafundishakiswahili.

Asante sana karibuni

새 메시지


새 메시지
Get help from your friend to learn foreign languages!